Huduma & Bidhaa

Maeneo ya kazi na viwanda

 • Kilimo, matumizi ya ardhi & misitu
 • Uhifadhi & Viumbe hai
 • Wanyama & Mimea
 • Hali ya hewa & Nishati
 • Jiolojia & Uchimbaji madini
 • Miundombinu & Trafiki
 • Rasilimali & Ubora wa maji
 • Urithi wa asili & Utalii
 • Huduma za kijamii na uchumi
 • Makazi & Ajira

Huduma

 • Biashara ramani
 • Jiografia ya masoko
 • CRM
 • Upembuzi yakinifu
 • Ukaguzi wa matokeo ya mazingira pamoja na jamii.
 • Maendeleo ya uthabiti na utekelezaji wa ubunifu
 • Ufuatiliaji na uthibiti wa shughuli za ukarabati
 • Maendeleo endelevu
 • Uwekaji mipango wa mazingira
 • Huduma za uandaaji ramani (GIS/Remote sensing/Mapping Services)
 • Tathmini ya hatari na kudhibiti majanga/maafa
 • Uhifadhi wa rasilimali za bahari pamoja na pwani/fukwe za bahari Bahari endelevu & Usimamizi wa Pwani , Uhifadhi wa mangrove

Programu ya Business Mapping

Programu yetu ya Business Mapping inatoa  urahisi na uwezo wa haraka wa kutoa taswira ya data za biashara kwenye ramani.

 

Kama unahitaji usimamizi wa mauzo katika kanda, au kudhibiti takwimu za uuzaji na usambazaji, programu inatoa ufumbuzi rahisi na kwa gharama nafuu.

Nani ambaye hataki kujua taswira ya usambazaji wa wateja wake kwenye ramani kwa kubofya tu, au kujua ni bidhaa gani inayouzwa kwa ubora katika kanda ?

Programu ya Business Mapping inaweza pia kuonyesha usambazaji wa wafanyabiashara na wateja na mapato yanayozalishwa na kampuni  katika maeneo mbalimbali.

Programu ya Business Mapping inaweza pia kuonyesha usambazaji wa wafanyabiashara na wateja na mapato yanayozalishwa na kampuni  katika maeneo mbalimbali.

Programu ya Business Mapping inatoa

 • Mipango na taswira ya maeneo ya mauzo
 • Uwakilishi wa wateja na wafanyabiashara / wauzaji katika ramani
 • usambazaji wa bidhaa
 • Wapi unazalisha mauzo yako, na wapi umeboresha?

Ramani za kidijitali – Geodata

Ramani za kidijitali au geodata ni malighafi kwa ajili ya mifumo ya habari ya kijiografia. Makampuni ya Kimataifa ni miongoni mwa wazalishaji mbalimbali, pamoja na wauzaji wa ndani: kama vile BGIS (ramani nafuu, ramani za mada, …).

Makusanyo ya kina ya geodata pia huzalishwa na Mamlaka ya umma: kama ofisi ya ardhi na viwanja ya taifa (ramani za topografia, utawala wa  mipaka, …). usambazaji wa data za kijiografia unaongezeka kwa nguvu kila siku kutokana na mbinu mpya za upatikanaji. Pia ubora na wingi wa data unaongezeka.

Takwimu za data / data soko

Tuna taarifa, hivyo tunaweza kupata na kutoa data sahihi kwa ajili ya mradi wako!

Habari za jamii zinasababisha kuongezeka kwa utata wa data za mandhari. Mbali na wazalishaji data wa umma (takwimu rasmi za ofisi, rejista, …), kuna idadi kubwa ya watu binafsi wanaotoa data soko na data za mahali.

 • Data za idadi ya watu
 • Taarifa za Micro Sensa
 • uwezo wa ununuaji
 • Utafiti wa data soko
 • Geocoded – anwani ya kampuni na anwani binafsi

Programu

BGIS ni mshirika wa programu katika mifumo ya taarifa ya kijiografia – GIS. Ramani Mtandao  (Web-Mapping), urambazaji (Navigation), routing, ufuatiliaji (Tracking) miundombinu ya geodata, geocoding na masuala ya kuhusiana na maswali.

Maendeleo ya programu

BGIS tunaangalia historian a uzoefu wa muda mrefu wa maendeleo ya ufumbuzi wa program kwa wateja maalum.  Kwa maana hiyo tunaweza kuthibitisha wasifa mbalimbali kutoka kwenye maeneo ya uchumi, serikali kama mashirika ya elimu na mashirika yasiyo na faida (NPO).