kuhusu sisi

BGIS GmbH

BGIS inatoa mifumo ya habari za kijiografia na ramani za digitali kwa kina kwa zaidi ya miaka 10  sasa. Sisi ni watoa huduma na ni wasambazaji wa turnkey solutions kwa wateja wetu. Ufunguo wa mafanikio yetu ni uhusiano kati ya hifadhidata (Database), ufumbuzi wa programu (Software) na ushirikiano na mifumo iliyopo – inayolenga maombi na mahitaji yako

Wateja wetu hufaidika hasa kutokana na mtandao mkubwa wa washirika tulio nao, ambao tunashirikiana katika maeneo ya programu, data za anga, soko na takwimu na vile vile katika kazi za utafiti na maendeleo

Miongoni mwa wateja wetu ni pamoja na makampuni, mashirika ya serikali, Non-Profit organisations, taasisi za utafiti, makampuni ya uhandisi hasa kutoka kwenye nchi zinazozungumza  kijerumani kama – BMW Austria GmbH, Brau Union Austria AG, FirmenABC, M.A.N., Volvo Baumaschinen, Wüstenrot Bausparkasse, serikali, manispaa na miji mbalimbali, makumbusho, vyuo vikuu n.k.

 

Uwekezaji

BGIS GmbH ni mwekezaji kwenye kampuni ya eoVision GmbH kuanzia mwaka 2008.

Tangu mwaka 2016 ni washiriki wa BIOTAN GROUP LIMITED Tanzania

BGIS in maana gani?

B – Biashara

GIS – Geographic Information Systems – Mifumo ya habari za kijiografia

Taarifa Za Kisheria
Mkurugenzi Mag. Paul Schreilechner
Rejista ya Kampuni FN 208560g, LG Salzburg
UID ATU51738302
Mamlaka kwa mujibu wa sheria za Kibiashara Bezirkshauptmannschaft Salzburg-Umgebung
Uanachama
Mamlaka ya Biashara Austria Ushauri wa makampuni na teknolojia za habari
Biashara za mashine mbalimbali, mifumo ya kompyuta, teknolojia na viwanda